Methali = Proverbs
Vichekesho = Jokes Ukurasa Wako - Unaalikwa kuandika Methali na Vichekesho Tumia Ukurasa wa Contact Us |
2009 Khanga Designs
with Methali |
1) Akili Ni Mali
2) Alalaye Usimuamshe, Ukimwamsha, Utalala Wewe 3) Asiyefunzwa Na Mamaye, Hufunzwa Na Ulimwengu 4) Asiye Na Mengi, Ana Machache 5) Asiyeuliza, Hanalo Ajifunzalo 6) Chombo Cha Kuzama Hakina Usukani 7) Damu Nzito Kuliko Maji 8) Debe Tupu Haliachi Kuvuma 9) Iwapo Niya, Njia Hupatikana 10) Ahesani Haiozi 11) Kwenda Mbiyo Si Kufika Sent by Shamsh Moosa Dedhar |











